Kiongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo akishiriki kwenye mazishi ya watu
waliofariki kwenye ajali ya magari mawili ya lori na basi kugongana eneo
la Iyovi Morogoro na kuzikwa Makaburi ya Msavu Wilaya ya Kilosa. (Picha
na Said Powa)
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment