GPL
Home »
» BREAKING NEWS: FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU
BREAKING NEWS: FRANCIS CHEKA JELA MIAKA MITATU
BONDIA
Francis Cheka (pichani) leo amehukumiwa miaka mitatu kwenda jela kwa
kosa la kumpiga meneja wake wa baa mkoani Morogoro mwaka jana. Cheka amehukumiwa katika Mahakama ya Morogoro.
GPL
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
GPL
0 comments:
Post a Comment