Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea kwenye Sherehe za
Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi Misufini
Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa Jimbo
Hilo alifanya Aliongoza Harambee Nas Jumla ya Shilingi Millioni 5.8
Zilichangwa Ambapo Yeye Alichangia Jumla ya Shilingi Milioni 4.5
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akikagua Mazingira Mbalimbali ya Shule ya Msingi Misufini. kwenye
Sherehe za Mazimisho ya Miaka 4o Tangu kuanzishwa Kwa Shule ya Msingi
Misufini Iliyopo Manispaa ya Morogoro.Katika Maadhimisho Hayo Mbunge wa
Jimbo Hilo alifanya Ukaguzi na Kuikuta Shule Hiyo Ikiwa Katika Hali
Mbaya Vyumba vya Madarasa ni Chakavu,Havina Milango Wala Madirisha Licha
Ya shulie Hiyo Kuafulisha wanafunzi kwa Kiwango Kikukbwa Ndani ya
Wilaya ya Morogoro Mjini.
Uchakavu
wa Madarasa ya Shule ya Msingi Misufini iliyotimiza Miaka 4O Tangu
Kuanzishwa kwake Ikiwa Katika Hali mbaya sana ya Uchakavu ya Miuondo
Mbinu ya Shule Hiyo.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Misufini Wakiwa katika Gwaride Maalum la Kumpokea Mh
Mbunge ambaye alikuwa Mgeni Rasmi Kwenye Maadhimisho ya Miaka 4o ya
Shule hiyo..
Mwalimu
Mkuu wa Shule ya Msingi Misufini Mwl Jane Mlawa Akitoa Taarifa Fupi kwa
Mh Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjni Aziz Abood Kuhusu Shule Hiyo Kabla
ya Kuanza Kwa Shuguli
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akiwa Meza Kuu na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Misufini Mwl Jane Mlawa Wakati wa Maadhimisho ya Miaka 4O Tangu Kuanzishwa kwa shule hiyo.
Walimu wanaofundisha Shule ya Msingi Misufini wakijumuika Kuimba Wimbo wa Taifa kabla ya Kuanza kwa Maadhimisho hayo
Ngonjera Ikiwasilishwa kwa Ufasaha na Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Misufini Iliyopo Mkoani Morogoro. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Misufini Mwl Jane MlawaAkijumuika na wanafunzi Wake kuimba wimbo maalumu kwajili ya Mgeni Rasmi.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment