Bodi ya wakurugenzi ya Dawasa yatembelea eneo la mradi wa ujenzi wa
bwawa la maji kidunda mkoani morogoro.Meneja usimàmizi ,uendeshaji na
mazingira toka mamlaka ya maji safi na maj taka Bi Modesta Mushi
aliwaonyesha wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ramani ya ujenzi wa mradi wa
bwawa la kidunda lenye ujazo wa mita milioni 190 wakati wa ziara ya
bodi hiyo mkoani morogoro.
Pia mhandisi John Kirecha aliwaambia wajumbe wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya maji safi na maji taka kuhusiana na kukamilika kwa taratibu za ulipaji fidia kwa wakazi waliopisha ujenzi wa mradi wa bwawa la litakaloweza kutoa huduma kwa mikoa ya Dar-es-salaam,pwani na morogoro
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
0 comments:
Post a Comment