Home »
» TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MTOTO NARSA(MTOTO WA KWENYE BOKSI) KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.
TUKIO KATIKA PICHA: MAMIA YA WATU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA MTOTO NARSA(MTOTO WA KWENYE BOKSI) KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Umati wa watu uliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kuaga mwili wa Nasra.
 |
Wanafunzi
wa Shule za Msingi Mkoani Morogoro nao walijumuika kumuaga mtoto Nasra
Rashid katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro. |
Picha na Daustan Shekidele
0 comments:
Post a Comment