Home » » BREAKING NEWS: BASI LAPINDUKA ENEO LA BWAWANI MOROGORO MUDA HUU.

BREAKING NEWS: BASI LAPINDUKA ENEO LA BWAWANI MOROGORO MUDA HUU.

 Basi hilo likiwa Likiwa limedondoka
 Baadhi ya watu wakiwa wanatazama Ajali hiyo
 Baadhi ya abiria na Mashuhuda
Basi ambalo halikutambulika Jina lake mara moja limepata ajali eneo la Bwawani Muda mchache uliopita, chanzo cha ajali hiyo hakijajurikana
Habari kamili inakuja .. fuatilia hapa
Picha na Morogoro yetu Blog

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa