Home » » HIVI NDIVYO TASWIRA YA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMAOS MAKALA YA KUKAGUA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI ILIVYOKUWA WILAYA YA MOROGORO.

HIVI NDIVYO TASWIRA YA ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMAOS MAKALA YA KUKAGUA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI ILIVYOKUWA WILAYA YA MOROGORO.


BWAWA LA MINDU:
Naibu waziri wa maji Amos Makala akihoji jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Maji (MORUWASA) Halima Mbiru wakati wa ziara ya naibu waziri huyo ya ukaguzi wa maendeleo ya sekta ya maji mkoa wa Morogoro.PICHA/MTANDA BLOG

UFAFANUZI:
Naibu waziri Amos Makala (katikati) akifafanuliwa jambo na Kaimu Mkurugenzi Mamlaka ya Maji (MORUWASA) Halima Mbiru kushoto kwa Mhandisi Mkazi Sean kulia katika machujio ya maji na kutibu ya mafuga katika ziara hiyo.PICHA/MTANDA BLOG
Naibu waziri Amos Makalakushoto akipokea taarifa kutoka kwa Mhandisi Mkazi Sean kabla ya kumtembeza sehemu mbalimbali za kuchuja maji na kutibu katika machujio ya Mafiga.PICHA/MTANDA BLOG
Hapa akipata maelezo
Maelezo yaliendelea hivi.
MABOGO.
Sehemu ya mradi mungine wa chanzo cha maji cha Mambogo
Asaini kitabu.
Mtanda Blog

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa