Juu na chini
ni Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada
ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro jana
wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi
katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo
kuchunguza tukio la kujeruhiwa
kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya
msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la
kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
Picha Zote na Juma Mtanda
0 comments:
Post a Comment