Home » » CCM waiteka Morogoro katika Mkutano wa kuhitimisha ziara yao Mkoani humo leo

CCM waiteka Morogoro katika Mkutano wa kuhitimisha ziara yao Mkoani humo leo


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, nape Nnauye wakiingia katika Uwanja wa Mkutano wa hadhara wa Kiwanja cha Ndege, mjini Morogoro, leo
 Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM kwenye Uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro, wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Uwanjani hapo
 Umati ukiwa umefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo April 21, 2013 kwenye uwanja wa Kiwanja cha Ndege wa mjini Morogoro
 katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini Morogoro leo, Aprili 21, 2013, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane aliyofanya katika wilaya zote, mkoani Morogoro.
 (Picha na Bashir Nkoromo)

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa