Home » » HII NI ZAIDI YA PONGEZI KWA ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI: SASA TOCHI MPAKA KATIKATI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI , KAMERA YETU IMEPATA TUKIO HILI BILA CHENGA.

HII NI ZAIDI YA PONGEZI KWA ASKARI WA USALAMA WA BARABARANI: SASA TOCHI MPAKA KATIKATI YA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI , KAMERA YETU IMEPATA TUKIO HILI BILA CHENGA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
 Hapa ni katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi Magari yanaonekana yanakwenda Taratibu huku nako kushoto kwa Mbali kunadereva amezidisha mwendo na akipigwa swali kama kuna sababu ya kumuachia aende au awajibike kwa sababu ya kosa la mwendo kasi..
 Hapa Ukikimbia tuu unalo...
 Hii ni kutokana na ongezeko la ajali lakini pia wanyama kupoteza maisha kwa kugongwa
 Hapa ni Heshima na utiii
 Safi sana
 Hongera Askari wa Usalama Barabarani kwa kazi nzuri sana hii ni zaidi ya pongezi
Wanyama hawa wanahitajika kulindwa sana .....

Picha na Morogoro yetu

0 comments:

 
Supported by : Tone Media
Copyright © 2012. Morogoro Yetu - All Rights Reserved
Template Modify by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa